Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.
Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.
mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.
Ndio bongo yetu hiyo.
Pia labda tufanye unaagiza panels zako na vikorokoro vingine sehemu kama Alibaba. Unatafuta tu fundi wa kuja kusuka.Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.
Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.
mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.
Ndio bongo yetu hiyo.
Pita maduka tofauti ya solar, utapatiwa bei ya configuration tofauti tofauti.Pia labda tufanye unaagiza panels zako na vikorokoro vingine sehemu kama Alibaba. Unatafuta tu fundi wa kuja kusuka.
Kiingereza cha huko tutawezena kweli!?Ingia YouTube kisha chukua list ya vifaa na gharama kisha ukaulizie kwa maduka na mafundi wa hapa Tanzania.
Kama kusikiliza tatizo, pale juu kulia kwenye video kuna sehemu ya CC unabonyeza una turn on subtitle.Kiingereza cha huko tutawezena kweli!?
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.
Hivyo hivyo tu mkuu, au transcribe kwenda kiswahiliKiingereza cha huko tutawezena kweli!?
safi sana,i wish na mie nitumie solar tu,hii songombingo ya tanesco ni kero tuKwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Dah... kwa sera ya nchi yetu ukitaka kutumia umeme jua kwa kutaka kupunguza gharama utakuwa umefeli kwani gharama ya unit moja ya umeme ni kubwa kuliko ya Tanesco.... Tumia umeme jua kama tu unataka umeme wa kuaminika ...usiokatikakatika....au ukusaidie wakati Tanesco wamefanya yao..umeelewa au unataka hisabati yake? 😎Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Binafsi nilifanya Installation ya Solar Kijijini kwetu kwa solar inayoniwezesha kutumia kila kitu kilichopo ndani ya nyumba kinachotumia umeme kwa Shilingi 9,000,000 mwaka 2019.Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Mimi mpaka maji ya kuoga yanachemshwa na umme wa Solar huko kijijini kwetu.Yaani solar iwashe fridge na pasi na tv na redio kama itawezekana itakuwa very expensiwe vinginevyo solar itumike kama dharula wakati tanesco wamekata!