Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tsh 150,000 kwa siku?Huko Moshi kuna vijiwe konki vya kulaza 150k nije nikomae huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh 150,000 kwa siku?Huko Moshi kuna vijiwe konki vya kulaza 150k nije nikomae huko
Motivational spika wako kazini😅😅Ni hatari mkuu ,nilikuwa naongea na derava wa bajaji aliyeweka gesi ,alisema akijaza mtungi wake wa kilo 6 anapata laki 2 nzima...Faida ya kutosha.
150 kwa moshi bado mkuuHuko Moshi kuna vijiwe konki vya kulaza 150k nije nikomae huko
Motivational spika wako kazini😅😅
Na wew ukakubali?Hahahaa ni ukweli mkuu ,jamaa alinipakia wa bolt simjui wala hanijui so alikuwa hana haja ya kuniongopea.
Na wew ukakubali?
Inshort motivational spika wamekupata tayari kanunue bajaji leo uwe Millionea.Eheee nilikubali kwa kipindi kile au una mawazo tofauti na yeye?
Sijui sijawahi kufanya hiyo biashara mimi nimeongelea upande wa technical tu.Naziona kwa wingi sana njiani kwa sasa.
Hesabu inasimamia ngapi kwa siku?
2010 zilikuwa 1.8mil leo hii 10.5mil bei ina panda kila sikuNoma sana na ukinunua yenye gesi ni hatari bei yake ni 10.5m
2010 zilikuwa 1.8mil leo hii 10.5mil bei ina panda kila siku
ITV habari sijui kuna shindano gani mtu anaacha IST anachukua bajaj na bodaboda [emoji91]
Yaaaaaap macho kwenye pesa tuuAta ningekuwa mimi ningeacha IST na kuchukua Bajaji.
Bajaji kwa siku hesabu ni 20k.2010 zilikuwa 1.8mil leo hii 10.5mil bei ina panda kila siku
ITV habari sijui kuna shindano gani mtu anaacha IST anachukua bajaj na bodaboda 🔥