hivi dunia ya leo bado unahangaika na hayo masuala??? wakati wa digitali jamani
Kati ya njia za mawasiliano ambazo siziamini ni posta! hivi kweli ukitumiwa mzigo wako wanakufikishia kabisa bila kuuchakachua au kufunguafungua....???

Okay. Mimi nilijibu kwa kutumia uzoefu wangu mwenyewe. Nilifungua SLP mwezi juzi Jan. kwa pesa iliyofikia hiyo jumla ikiwa ni pamoja na ada ya mwaka. Tena ni pale posta kuu DSM. Sasa kama mie mwongo naondoa hoja yangu. Kwa heri.
Kaka kama ulifungulia hiyo basi huenda posta mahali ilipo napo panahusika,mimi nilifungulia Kijitonyama pale maeneo ya Bamaga kwa sh11800 plus VAT
Vipi gharama hiyo ilijumuisha ada ya mwaka?
Sawa wakuu, ushauri wenu utazingatiwa. Nitafika sehemu husika
Mie leo nimelipa annual fee sh.35,000 (ni la kampuni), na nilifungulia hiyo hiyo elf 35 mwaka 2010