Gharama na taratibu za kufungua sanduku la posta

Nitangulize salam kwanza wanajamvi. Nahitaji kufungua sanduku la posta, mwenye ujuzi au elimu ni vitu gani vinahitajika na garama zake naombeni muongozo wenu ndugu zangu.
Asante sana
Passpot 2 za watu wawili

id nA 30000
 
Asante kiongozi 30k ni kufungulia au ada?
 
Bado gharama ni hizi hizi kwa mwaka 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…