Gharama na utaratibu wa ujenzi wa nyumba ya kuishi - (residencial)

Gharama na utaratibu wa ujenzi wa nyumba ya kuishi - (residencial)

Kaka mm naomba nikupe ushauri kuhusu ml 60 kuwa unaweza kujenga bonge la jumba hiyo siyo kweli ila unaweza kujenga nyumba standard ya maisha ya kawaida mm ni mkandarasi na nina uzoefu wa kutosha kwa nyumba ya kawaida at least inatakiwa isipungue square meters 180 na hii imazingatia zaidi nature ya familia zetu naamanisha minimum kwa Square cost ya chini kabisa ni 600,000 hapo sasa just calculator your self siku zote jaribu kuwa makini sana na taarifa za kusikiliza bila utafiti na huo utafiti unatakiwa kuupata kwa watu wenye hizo fani au kwenye uzoefu ambao walishafanya jambo hilo na pia wawe na mioyo safi ya kukueleza ukweli unless utaishi nyumba kwenye Lenta kati ya sehemu yenye udanganganyifu na wizi na uzandiki wa kutosha ni kwenye Contraction industry so u need to be very carefully
 
Asante ndugu;

Kwa hesabu hiyo itagharimu 108,000,000/= TZS. Ndio sababu nilisema "ya kawaida". Ila ndugu, hebu niambie kitaalam, ikiwa wewe utajenga kwa 108 mwingine nyumba ya ukubwa huo huo akajenga kwa 60, tofauti ya gharama itakuwa iko kwenye nini zaidi? Au labor?? Maana material ni yale yale, au ratios?
 
Kinachotengeneza difference ni aina ya material unazotumia wataalamu unawatumja sehemu unayojenga na pia usimamiza wako upo tighty kiasi gani
 
Kinachotengeneza difference ni aina ya material unazotumia wataalamu unawatumja sehemu unayojenga na pia usimamiza wako upo tighty kiasi gani

Duh! Hapa inabidi nitulie nifanyie kazi hizi issues: Materials, expertise, location, na supervision. Asante kwa ushauri wako ndugu.
 
Raha ya kuchukua risk ni endapo una kwako kwa kuishi,hata mambo yakienda vibaya mwisho wa siku una sehemu ya kulaza ubavu bila bugudha ya kodi

Halafu pia una uhakika gani kama haja wekeza? Kila mtu ana mipango Yake mkuu,na hukana asiyejua faida za kuwekeza

Mkuu dotnet (bila shaka wewe ni programer mwenzangu kwa hili jina lako),kwanza tafuta surveyor aende akuchukue coordinates za eneo lako, then ata zipeleka ardhi ambapo watacheki kama kwenye hilo eneo kuna mchoro wa mipango miji.

Kama hakuna mchoro hapo itabidi uanze mchakato wa kuchora ambayo ni Gharama sana na inategemea na eneo lilipo maana manispaa inaweza isipitishe mchoro.

Mara nyingi manispaa huwa wanapitisha mchoro ambao ni wa eneo kubwa kuanzia ekari 50 au at least Ekari 10,ndio maana watu huwa wanajiunga wawe wengi ndio wanaanza kupima.

Eneo likishakuwa na mchoro wa mipango miji then ndio mchakato wa kupima ili upate hati ndio unaanza.

Hapo kwenye kupata mchoro nadhani itakuwa issue!
 
Last edited by a moderator:
Naongezea kwa hippo hapo juu! Gharama za ujenzi per square metre laki nne - laki 600 unaweza kukokotoa myumba ya aina gani unayotaka

Kwa hesabu ya laki nne per sq m, chumba cha sqm 12(4x3) sawa na milioni nne na laki nane!
 
Asante ndugu;

Kwa hesabu hiyo itagharimu 108,000,000/= TZS. Ndio sababu nilisema "ya kawaida". Ila ndugu, hebu niambie kitaalam, ikiwa wewe utajenga kwa 108 mwingine nyumba ya ukubwa huo huo akajenga kwa 60, tofauti ya gharama itakuwa iko kwenye nini zaidi? Au labor?? Maana material ni yale yale, au ratios?

ya kawaida you mean swahili type? maana modern house ni mil 100 kwenda juu....
 
ya kawaida you mean swahili type? maana modern house ni mil 100 kwenda juu....

The way unavyoita swahili type ni kama unajidhalilisha. Feel proud to be a swahili! Be happy about it. Value your life and not someone's else values. Yes, I mean swahili type, do you have an alternative type? Please name it for me.
 
Plan yangu ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa master bedroom, sitting room, dining na kitchen. Basic yaani.

Sasa mtu ukisema unajenga mbili inakuwa shida kuelewa, plot tayari ninayo. So question iko kwenye beginning from scratch yaani hata ramani sina na nadhani ningepata ramani na BOQ ingekuwa ideal.
nipe email yako nakupatia ramani bure
 
Kwasababu kiwanja inaonekana umepata pembeni ya mji basi nakushauri ujenge nyumba ya 40m na iliyobaki 20 nunua vuwanja vingine baada ya miaka miwili au tatu vitakuwa vime double value. Kuna post watu wanaweka kuwa wanautalaam wa kujenga hebu check hao kwa ujenzi ila kwa nionavyo mm hiyo 40 m inatosha
 
Back
Top Bottom