Gharama ya 500m Bridge Kenya ni sawa na kujenga electric SGR Tanzania Dar - Moro hundreds of KMs

Wakenya waliopo hapa JF wanaendelea kutetea wizi wa wazi kabisa, sijui kwanini wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wenyewe, ni juzi tu rais wao alilazimika kupunguza gharama ya ujenzi wa "dam" by 50% baada ya kugundua kwamba bei iliyopitishwa ilikua kubwa sana, na kulazimika kufuta ujenzi wa "dam" lingine.

Hadi Leo Kenya inaendelea kulalamika kutokana na gharama za ujenzi wa SGR kuwa kubwa kuliko wastani wa dunia, lakini bado watu wanaunga mkono ujenzi huu wa daraja moja kwa gharama ya 82B. Wajinga sana hawa jamaa
 
Umekimbia kule baada ya kukudunga sindano kali sana
 
Inashangaza Kenya huwa wanatetea ufisadi as long as huyo fisadi ni kabila lake, ukiona mkenya anapinga ufisadi jua hilo fisadi sio kabila lake.
 
Ukiona mtanzania anaunga mpka juhudi za utekaji...basi jua huyo ni ccm damu...

"Eti jamaa kajitengezea mazingira katika maeneo ya bunge na kukomboa watu wampige risasi kadhaa"

Siasa za tanzania hzo[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inashangaza Kenya huwa wanatetea ufisadi as long as huyo fisadi ni kabila lake, ukiona mkenya anapinga ufisadi jua hilo fisadi sio kabila lake.
 
Naona siku hz mungiki ni wengi hata kuliko wakenya
80% ya wakenya wamechoshwa sana na utawala wa Uhuru Kenyatta, kinachofanya washindwe kuandamana ni kwasababu ni mkikuyu wanaogopa Mungiki.
 
M
80% ya wakenya wamechoshwa sana na utawala wa Uhuru Kenyatta, kinachofanya washindwe kuandamana ni kwasababu ni mkikuyu wanaogopa Mungiki.
Mungiki hawapo tena. Kumbe hujui Kenya vizuri. Unajua nini kiliwakuta?
 
Wacha wapigwe hadi siku watakapotia akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana wanasiasa wengi wa kenya hutumia lugha ya kingereza kwenye mikutano yao ili wakenya wengi wasielewe nini kinaendelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…