Aaah qumamaqeeee nataka nisikie nchi gani inasema "we have our own Uhuruto".
Mpaka akadange kwenye media za watu ndio ajulikane? Kwanza Rais gani mkubwa anaenda kwenye media studios? Rais wa heshima media zinamfata state House!Kula hzo kwanza!!jpm ni nani kw uhuru bana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1226768View attachment 1226769View attachment 1226770View attachment 1226771
unafikiri hii bridge hapa kwetu Kenya ni sawa na hivyo vi-interchange hapo ubungo mnavyoviita FLY OVER?
HUKU NI THIKA ROAD, LZA NAIROBI HUZIJUI EEH
Mpaka akadange kwenye media za watu ndio ajulikane? Kwanza Rais gani mkubwa anaenda kwenye media studios? Rais wa heshima media zinamfata state House!
JPM anaongea kiswahili all day long hajawahi kwenda huko lakini wanampata 100% yaani wapo desperate kutafuta tafsiri alimradi tu wajue JPM kaongea nini? Uhuru anaongea English na amezunguka duniani hapa karibu mara 50 lakini bado kuna watu wengi hawamjui hata Africa hii hii!
Hahaha hujui kama CNN ime report habari za JPM mara mia zaidi ya Uhuru? Nenda kwenye social media search CNN Magufuli uone kila Magufuli akipiga chafya CNN wana report na mainstream media nyingine za western.Sindano kali sana hyo[emoji382][emoji382][emoji382]
Uhuru ywaitwa...jiwe kwanza aitwe kw lipi hko CNN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rais wa CCM tu. Mama kaomba maji ona alivyomjibu, kisha useme Wakenya wengi wangemtamani.Hahaha hujui kama CNN ime report habari za JPM mara mia zaidi ya Uhuru? Nenda kwenye social media search CNN Magufuli uone kila Magufuli akipiga chafya CNN wana report na mainstream media nyingine za western.
Hahaha hujui kama CNN ime report habari za JPM mara mia zaidi ya Uhuru? Nenda kwenye social media search CNN Magufuli uone kila Magufuli akipiga chafya CNN wana report na mainstream media nyingine za western.
Kula hzo kwanza!!jpm ni nani kw uhuru bana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1226768View attachment 1226769View attachment 1226770View attachment 1226771
Sindano kali sana hyo[emoji382][emoji382][emoji382]
Uhuru ywaitwa...jiwe kwanza aitwe kw lipi hko CNN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sindano kali sana hyo[emoji382][emoji382][emoji382]
Uhuru ywaitwa...jiwe kwanza aitwe kw lipi hko CNN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio East Africa tu, mpaka Mexico JPM anajulikana
We mwenyewe ni member wa MUNGIKI hehehehhhahahahMungiki walipotezwa. Hawapo tena. Kumbe hujui lolote kuhusu Kenya
CNN WANAMRIPOTI KIDUME MAGUFULI BILA YA KUMUITA.
SIO MPAKA UHURUTO WAKO AITWE ASUMBULIWE KM HOUSEMAID NJOO NJOO.
ILA KIDUME WANAMFATILIA KICHIZI MPK WANARIPOTI HABARI ZAKE PASI NA KUMUITA.
Khaaaa we ni kammaba kweli.
Yani hii unafananisha na Australia kiongozi wao kumfananisha na Magufuli ??
Halafu ukishangaa Magufuli sio mtembeaji na haongeagi Kiingereza jiulize MEXICO NA AUSTRALIA WAMEWEZAJE KUFAHAM JUHUDI ZA HUYU JAMAA NA KUWAFANANISHA VIONGOZI WAO NA MAGUFULI ?
EBU NITAJIE TAIFA LOLOTE LILILOENDELEA LILILOMFANANISHA RAIS WAO NA UHURUTO.
NASUBURI JIBU.........
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulishaona popote Putin, Xi, Maduro akiitwa kuhojiwa?
Hata habari za al shabab pia huaga wana zi ripoti pasi kuwaita...so ihyo si big deal...tatizo kiki