komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Lini hyo
Swala ni kwamba wamemchoka Uhuru Kenyatta na wanamtaka Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala ni kwamba wamemchoka Uhuru Kenyatta na wanamtaka Magu.
Hahaha
Wakenya wenzio hao, pia naona wanamuelewa JPM vilivyo
Unabwabwaja sana bro.Youtube siku hz pia kuna wabongo utawakuta wanaranda randa na ku comment videos zianzo husu kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kila mahali mnatufuata na kuanza kujilinganisha na sisi...
Jamaa hutafuta comment negative ya mkenya ndio anapata fursa ya kumtaja magu...nynyi hamuwajui wakenya...
Hzo ni feelings tu wazitoa..lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi
Unabwabwaja sana bro.
Unakumbuka ile video ya wale wanahabari wa kikenya walivyokua wanaiponda serikali na jeshi lenu la KDF kuwa ni bure kabisa hamuwezi hata kuopoa mwili wa mama na mwanawe week sasa inakatika??
Unataka nambia wale nao waTz wamejichomeka??
Kwa mantiki yako ni kwamba wale walio comment ni WATZ.Nani kwanza kasema wa tz wamejichomeka...tatizo hukunielewa, n hv..siku hz wa tz utawakuta mpka youtube wakijilinganisha na kenya..anything concerning kenya lazima wataitaja tanzania...
Anyway..yule swedish diver mwenyewe kaja na mbwembwe, eti apewe mda wa masaa mawili atakua keshamaliza kazi...alichokiona hakurudi, kafanya kusepa kiungwana tuView attachment 1226187View attachment 1226188View attachment 1226189
Kwa mantiki yako ni kwamba wale walio comment ni WATZ.
Ilhali wakenya kabisa.
Halafu Swedish is not an almighty.
Akishindwa haimaanishi ninyi mmeshindwa.
Bado KDF wazembe basi atleast mngeliwahi gari wakati ule ule linazama.
Lakini mmeshindwa doooooooh!!!
Sasa unafikiri kwa sababu Watanzania hawaelewi kiingereza pia Wakenya hawaelewi Kingereza? Wacha mchezo kijana.Wacha wapigwe hadi siku watakapotia akili 😂😂😂
Ndio maana wanasiasa wengi wa kenya hutumia lugha ya kingereza kwenye mikutano yao ili wakenya wengi wasielewe nini kinaendelea 😂😂😂
Unakumbuka kuna siku mlisema hapa ni asilimia ngapi ya wakenya wanaelewa kingereza?Sasa unafikiri kwa sababu Watanzania hawaelewi kiingereza pia Wakenya hawaelewi Kingereza? Wacha mchezo kijana.
Mamako ndiye aliyekuambia ivo?Wakenya wengi kwa huu jukwaa ni mungiki. Wanatafuna serikali. Lazima watetee mitaji yao!
Hapo vipi 😂😂😂😂😂Youtube siku hz pia kuna wabongo utawakuta wanaranda randa na ku comment videos zianzo husu kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kila mahali mnatufuata na kuanza kujilinganisha na sisi...
Jamaa hutafuta comment negative ya mkenya ndio anapata fursa ya kumtaja magu...nynyi hamuwajui wakenya...
Hzo ni feelings tu wazitoa..lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi
Hapo vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuwa ya kupelekwa jukwaa la Tanzania tena? Wewe si ulisema mkenya hawezi kumsifia JPM mbele ya wakenya?
"........ lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi"Nilisema wapi?kemu nilitee hyo comment
Youtube siku hz pia kuna wabongo utawakuta wanaranda randa na ku comment videos zianzo husu kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kila mahali mnatufuata na kuanza kujilinganisha na sisi...
Jamaa hutafuta comment negative ya mkenya ndio anapata fursa ya kumtaja magu...nynyi hamuwajui wakenya...
Hzo ni feelings tu wazitoa..lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi
"........ lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"........ lkn jaribu siku hyo ku post huu upupu kenyantalk halafu uone wakenya wako vipi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
😂😂😂😂😂😂😂 We jamaa punguza bangeAngalia wenzako wanvyotoa hisia kali[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]...tatizo mnamuabudu sana jiwe..hta kumkosoa mnaogopaView attachment 1226591View attachment 1226592View attachment 1226593
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa punguza bange
Ni watanzania wapi hapo wanamtaka Uhuru zaidi ya huyo mwehu mmoja muuza heroine? Halafu ni 2 years back, ni kipi Uhuru anafanya kila siku kinachofanana na JPM? JPM wanamtaka mpaka wazungu achana na waafrika