Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo juu ni kiasi gani? Hizo za wazi na za uchochoroni?Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni
Bei gani?Inategemea na eneo maana sasa hv zimeachwa nyingi.kutokana na bishara kua ngumu kidogo