Gharama ya fundi kujenga msingi

TheImporter

Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
23
Reaction score
2
Wadau, naomba kujua makadilio ya gharama ya fundi kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 4, kiwanja kina mtelemko kidogo.

Thanks
 
Jamani vitu vya professional wapeni wenye professional zao wakupe ushauri. Hapo kuna mambo mengi ya kuangalia kwanza physical kabla hujaanza jenga na si kweli gharama zinafanana maana hata ramani zavyumba vinne haziwezi fanana pia na ni pamojana nature ya uwanja wako.

Tafuta Engineer akushauri maana unaweza rushiana ngumi na fundi bure kumbe tatizo nilako.
 
Precisely mkuu!
 
Huyo alotaja laki nne wala hajakosea. Inatokana na mahali alipo. Ukienda mbeya hiyo laki nne inaweza kuwa cha mtoto ,ama dar. Lakini kwa ifakara hata laki mbili unachimba.
 
Mimi ni engineer hiyo ndo maximum cost ukipata fundi uchwara hata laki 2 anafanya, katika msingi kunavitu vingi kuna kuset, kuchimba msingi na pia baada ya kujenga msingi kuna kupiga zege ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…