Gharama ya Internet ya Starlink

Gharama ya Internet ya Starlink

Sawa
FB_IMG_1669587956717.jpg
 
Kwa hesabu zako kwa watu 120 watalipa 2000 kwa mwezi, nafikiri ni very good deal ikiwa hivyo, ila nafikiri itasaidia sana kwenye community kama vyuo vikuu ,Hospitals , mashule etc maana wataweza kuwa na very fast internet kwa watu wao, kwa chuo kikuu kuwa na starlink 10 kulipa hiyo bei ni very good deal
Its not practical, kadri watu wanavyoongezeka ndo speed hupungua
 
Usisahau sio unlimited sasa hivi kuna Cap ya 1TB, then speed inadrop na watu wanavyozidi kuongezeka panga linaendelea, bado ping hapo ni kubwa kuliko local internet. Voda kwa 250k kama upo kwenye coverage sasa hivi unapata 200mbps.

Na nchi nyingi gharama nafuu ni sababu ya Subsidy.
Starlink kwa mtu anayeishi Dsm, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya ni ujinga tu.

Starlink yafaa mtu anayefanya kazi porini huko ie kwenye game reserves, kwenye mashamba ya parachichi etc
 
Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni watashusha hadi nusu ya hiyo bei.

Malipo kwa mwezi ni dola 100. Karibu 240,000 kwa mwezi. Internet inasambaa hadi futi 200, kama mita 60 na inaweza sapoti hadi watu 120 na zaidi. Speed kuna watu hadi 400mps wanapata.

Ila sijajua wazee wa tozo wamejipangaje.

Unaonaje hii kitu. Itakuwa na msaada wowote kwa biashara na raia?
Labda akina nape watoke maana wwmekuwa kama ndo wamiliki wa voda com na tigo
 
Back
Top Bottom