Gharama ya kuanzisha kiwanda cha nguo size ya kati

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Salamu wakuu.....!!!

wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa kitambaa......????
 
Tril 1.5 inamaliza viwanda viwili bila hata wasiwasi.
 
Salamu wakuu.....!!!

wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa kitambaa......????
Mkuu hili jambo naona kama la kitaalam zaidi. Kwa nini usimtafute Business Consultant alie jirani nawe ktk eneo lako akakuandalia andiko lililokamilika la kiwanda utakacho kuliko kubahatisha bahatisha. Mtazamo tu lkn
 
Siku hizi viwanda hununua materials na kuunda nguo, kufanya kila kitu ni hasara
 
Salamu wakuu.....!!!

wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa kitambaa......????
Mkuu kwa uelewa wangu labda bado hujajua unachokitaka! Kiwanda cha nguo ni like kinachoshona nguo tu! Hiki ni tofauti kabisa na kiwanda cha kuchakata pamba na materials nyingine ili kuzalisha vitambaa ambavyo ndo vinatumika kutengeneza nguo"

Ila vile umeongelea kiwanda cha nguo labda tu nikupe mawili matatu ambayo nayafajamu kwa vile Mimi Nina ueledi kwa gani hii,

Kwanza inategemea wewe unalenga kutengeneza nguo za aina gani, MF: ukiwa unalenga kutengeneza labda jeans: unachokitaka ni -

Uwe na vitambaa vya jeans ( vipo madukani au unaweza kuagiza china) na mashine ya kuweza kushona jeans ( kwa hapa dar huuzwa kati ya m.1 hadi m 2. @ overlock kubwa ambayo inagharim kama laki nane hadi m. 1, na mashine nyingine ndogo ambayo inaweka lock zile za chuma kwenye jeans. Ukiwa na mashine hizi unaweza kuzalisha jeans 7-10 na zaidi kwa siku.

Uzalishaji inategemea wingi wa mashine.

Kila aina za nguo zinamahitaji tofauti ya mashine za kutengenezea, hivo ni muhimu kujua kiuhakika unataka kuzalisha nguo gani"
 
shukran bosd umenipa mwanga
 
Back
Top Bottom