Gharama ya kujenga fremu za biashara

Gharama ya kujenga fremu za biashara

BONNIE GOLD

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
414
Reaction score
805
Habari zenu wakuu

Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu.

Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar

Asante sana

dalalimakongo_allan-20241018-0007.jpg
dalalimakongo_allan-20241018-0004.jpg
dalalimakongo_allan-20241018-0001.jpg
 
Chukua Eneo linalojengwa kisha zidisha mara 350K Kwa SQM kama utatuma Force Account au 500K kwa SQM Kama Unatumia Mkandarasi.Chaguo ni Lako.
Kwa Mfano huo Chumba cha 2.5m*2.5m Itakuwa
2.5*2.5*350,000/- Kwa Kutumia Local Fund (Unanunua materials mwenyewe,fundi anakuja Kujenga na analipwa)
Au
2.5*2.5*500,000/- Hapa unampa Mkandarasi Pesa akimaliza analipwa Jengo.
Ila Kwa Far hizo picha ulizoweka Sijui Usalama wa Mali za wateja.Kwa sasa Tunatumia sliding shutters.
 
Back
Top Bottom