Gharama ya kujenga fremu za biashara

Chukua Eneo linalojengwa kisha zidisha mara 350K Kwa SQM kama utatuma Force Account au 500K kwa SQM Kama Unatumia Mkandarasi.Chaguo ni Lako.
Kwa Mfano huo Chumba cha 2.5m*2.5m Itakuwa
2.5*2.5*350,000/- Kwa Kutumia Local Fund (Unanunua materials mwenyewe,fundi anakuja Kujenga na analipwa)
Au
2.5*2.5*500,000/- Hapa unampa Mkandarasi Pesa akimaliza analipwa Jengo.
Ila Kwa Far hizo picha ulizoweka Sijui Usalama wa Mali za wateja.Kwa sasa Tunatumia sliding shutters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…