Mwanakanenge
Member
- Nov 25, 2012
- 75
- 17
Ha ha ha jf raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choper mpaka BK? Kwa nini usitumie Charter plane za pale Tanzanair, Coastal Travel na makampuni ni mengi tu pale airport. Charges ni kati ya 3.5 - 4mil
hasa we kinachokuuma ni nini.......kama ni sifa za kijinga si nasifiwa mie
sio kila kitu lazima ukoment...............we ukikodigi bodaboda mbona hatuongei............watu wengine bhana.........
sio kuosha nataka kwenda na kufika haraka then nirud siku hiyohiyo...........................
uliishia bukoba mjini i think............ungefika vijijini usingetamani kurudi nyumbani..........mfano ungefika sehemu inayoitwa kanyigo ndo ungepata la kuongea vizuriWatu wa bukoba mna mambo xana aisee, kwa jinsi mnavyotusumbua huku mikoani nikadhan bukoba kupo vizur xana, juzijuzi nmetoka ziara huko. Mbona mna mbwembwe xana alafu mkoa wenu hauelewek nyie, yaan mnavyojiweka as if hakuna mkoa mzur hapa tanzania unaouzid BK. Nenda kwa gar tafadhal, achana na hizo safar za angani
kwani mi na wewe tuliagana nasafir lini???Hee we jamaa tangu tarehe 16/08 ulipoleta thread mpaka leo hujasafiri tu? Ama kweli Zilikuwa ni sifa za kijinga tu:sly:
hasa we kinachokuuma ni nini.......kama ni sifa za kijinga si nasifiwa mie
sio kila kitu lazima ukoment...............we ukikodigi bodaboda mbona hatuongei............watu wengine bhana.........
Na wewe kama muhaya tu! Sasa umechimbua thread ya mwaka Juzi ili iweje?? Au sifa tu?Ah ah ah ah ah uhaya uhayaniii
Kuna issue nilikuwa natafuta kuhudu huku so nikakutana na hili....Na wewe kama muhaya tu! Sasa umechimbua thread ya mwaka Juzi ili iweje?? Au sifa tu?