Gharama ya kununua apartment Palm Village

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042
Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon

Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?
 
mimi nauza apartment zipo mtwara mjini mtaa wa Shanghani karibu sana
 
Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon

Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?
Safi! Kila la khery.
 
Hilo jengo limejengwa kwa lengo hilo. Yaani kuuza apartments. Ni wewe tu hela yako itaamua upate apartment ya bei gani. ukinunua ikiwa yako maji,umeme,internet utalipia mwenyewe. Na usisahau kuna kitu kinaitwa service charge kila mwezi inaweza kufika $300 hii ni hela unachangia usafi,kutunza bustani,umeme wa taa za nje na lift na ulinzi.
Yaani hio service charge ni zaidi ya kodi ya nyumba mitaa yetu huku swekeni. Jipange mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom