Gharama ya kununua apartment Palm Village

Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon

Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?
Kwa mwezi inakuja bili ya usafi, lifti ulinzi ina tream mpaka laki mbili. Karibu jirani
 
Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon

Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?
Ngoja kwanza hivi Complitety Ina maana gani?
 
Back
Top Bottom