Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon
Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?