MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
wadua natanguliza shukurani, kwa wale wenye weledi katika mambo ya kilimo cha mananasi. nahitaji kujua gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja ni kiasi gani.
kwa maeneo ya Bagamoyo. hii inajumuisha mbegu, mbolea ya kukuzia na kunenepeshea mananasi. wapandaji na farm preparation.
na kama kuna kitu sijakijumuisha hapo. nahitaji kujuzwa wakuu.