gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja " msaada"

gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja " msaada"

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
wadua natanguliza shukurani, kwa wale wenye weledi katika mambo ya kilimo cha mananasi. nahitaji kujua gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja ni kiasi gani.

kwa maeneo ya Bagamoyo. hii inajumuisha mbegu, mbolea ya kukuzia na kunenepeshea mananasi. wapandaji na farm preparation.

na kama kuna kitu sijakijumuisha hapo. nahitaji kujuzwa wakuu.
 
Ulifikia wapi mkuu?

mkuu nilipata shamba lakini kutokana na mizunguko ya maisha sasa niko mbali nilamua kusitisha kwanza. wakati bado niko mbali nimeamua kuendelea na kufikiri alternative projects ambazo zinaweza work zaidi ya mananasi kwa sababu mji unakuwa kwa kasi kutokana na kuwepo kwa project ya barabara ya rami bagmy - msata.
 
Kwa Kiwangwa Bagamoyo Mche mmoja ni sh 70/= hii inajumuisha kuinunua mbegu kuibeba hadi inafika shambani na kuipanda kabisa.
 
Hivi heka moja inachukua miche mingapi ya nanasi? Itanichukuwa muda gani hadi kuanza kuvuna? Msaada jamani...
 
Back
Top Bottom