Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Andaa michoro Mkuu.

Hiyo ndiyo itaamua uchajiwe kiasi gani kulingana na ukubwa wa jengo lako, matumizi na aina.

Pia, hutofautiana kati ya Halmashauri na Halmashauri.
Asante. Pia ningependa kujua kama nilinunua kiwanja kwa mtu na hati bado sijabadilisha jina bado naweza kupata hiyo building permit?
 
Asante. Pia ningependa kujua kama nilinunua kiwanja kwa mtu na hati bado sijabadilisha jina bado naweza kupata hiyo building permit?
Hapana. Hutoweza kupata. Vinginevyo aende yeye kuomba kwa niaba yako. Ambayo kisheria jengo litatambulika kama lake.

Kwa sasa, anza mchakato wa kubadili umiliki kutoka kwake kuja kwako. Kisha process zingine ndizo ziendelee.
 
Ah sasa orgy tukipiga kwenye kijumba changu sii ndio raha zaidi mwanawane. Hela ya hotel nyingi mzeya. Nitakapamba fresh uwe unakuja na mzee wa kupambania
😅😅 sasa hadi kijumba kikamilike, si nyege zotatuuu mzeeiyaaa.. hapo kwenye 2 million, tunachukua ka guest uswazi chumba buku 30 inayobaki yote tunapigia rahaaa za kiunoni
 
Back
Top Bottom