Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
Kama ujenzi sio mkubwa ni nyumba tu ya makazi ya kifamilia nenda serikali ya mitaa ongea na mwenyekiti mpe ya maji atakupa form wataijaza.

Usipate shida sijui hati ya kiwanja, kuandaa ramani mara sijui nyumba utaijengaje sijui mara utaipauaje hizo mbwembwe tu

Kama ikitokea jamaa wa halmashauri wanapita wewe waonyeshe ile form uliyopewa na serikali ya mitaa

Hao jamaa wa halmashauri kwanza huwa hawapitagi kukagua ujenzi wa nyumba za kawaida hao ni miradi mikubwa hasahasa

Wewe cheza tu na serikali ya mitaa uwape chochote kitu wakupe form yao ikulinde lolote likitokea
 
Mm nilimcheki mwenyekiti nikampoza elfu 20.tu mpk kimekwisha kibanda changu
 
Back
Top Bottom