Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahaa hapo ndo patamu sasa patakuwa uwanja wa machinjio ya waremboAh sasa orgy tukipiga kwenye kijumba changu sii ndio raha zaidi mwanawane. Hela ya hotel nyingi mzeya. Nitakapamba fresh uwe unakuja na mzee wa kupambania
Ah kumbe ka mil2 kangu kanamaliza kazi na chenji inabaki nyingi tuuRamani inafuatana na ukubwa wake 3 bedroom tunaandaa kwa 250000,4 bedroom ni kwa 350000 fees ya building permit ni laki 3
Ah kumbe ka mil2 kangu kanamaliza kazi na chenji inabaki nyingi tuu
Pakikamilika kwenye uzinduzi kila mtu aje na manzi wake ipigwe group sex (orgy) π π πkamaaa kauwaaa mzeee π π π
napendekeza ma manzi watoke JF π πPakikamilika kwenye uzinduzi kila mtu aje na manzi wake ipigwe group sex (orgy) π π π
Kama ujenzi sio mkubwa ni nyumba tu ya makazi ya kifamilia nenda serikali ya mitaa ongea na mwenyekiti mpe ya maji atakupa form wataijaza.Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
Poa mi ntakuja na Demi wangu πnapendekeza ma manzi watoke JF π π
Natakiwa niambatanishe vitu gani?? Vp kama sina hati ya kiwanja??Ramani inafuatana na ukubwa wake 3 bedroom tunaandaa kwa 250000,4 bedroom ni kwa 350000 fees ya building permit ni laki 3
Permit inakua ya muda gan??Kira kitu bongo ni connection kaka tunajua jins ya kucheza na hao wa harimashauri ili zoez liende chap
Kabisa hili muhimu kama huna hati inakuwajeNatakiwa niambatanishe vitu gani?? Vp kama sina hati ya kiwanja??
Natakiwa niambatanishe vitu gani?? Vp kama sina hati ya kiwanja??
Haina ukomo mda wowote unaweza itumiaPermit inakua ya muda gan??
Mm hati sina kabisa na eneo la urithiDocument mlizopeana wakat mnauziana na mkataba wa maudhiano ,maana we si umesema hati unayo Ila transfer ndo hujafanya I mean kuhamisha umiliki
Permit ya serikali ya mtaa inaweza kutumika fresh bila kwenda halmashauri??Haina ukomo mda wowote unaweza itumia
Permit ya serikali ya mtaa inaweza kutumika fresh bila kwenda halmashauri??
π π π π€£ π€£ π€£ π€£ π€£patakuwa uwanja wa machinjio ya warembo
πππTuje kula mema ya nchi na Mrs Thabo Bester π
Kweli wewe babu mwehu...bonge la idea mzee babaπ π π karibisha wagenii.. tubadirshana na mawazoo. tule nyama fresh.. tuombe pamojaaa alafu kila mmoja atashinda mechi zake