Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Hamna picha ya shule na sisi tuliopo Ludewa tuone.
Unadhani thamani ya Kielimu, Kiuchumi na kidiplomasia kwa umri wote wa shule hii ni kiasi gani, ili tulinganishe na gharama za msafara wa leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna picha ya shule na sisi tuliopo Ludewa tuone.
Mataga mtafurahi.Bavicha leo watanuna
TumerogwaNiko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha wakiwemo watumishi wa Serikali.
Najiuliza gharama za kupeleka ndege mbili za Marais, kupeleka jopo kubwa hivi, kuwalipa posho walioenda na watumishi wa Chato, logistics za ulinzi kwa marais wote wawili, kupeleka live TV etc
Hizi gharama hazijazidi au kukaribiana na gharama ya shule ya msingi iliyoenda kuzinduliwa? Kama ni alama ya ushirikiano, hamna namna nyingine tungeweza kufanya?
Madikteta hawaangalii gharama wao ni kusifiwa tuu. Wachawi wamekutana kaburiniNiko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha wakiwemo watumishi wa Serikali.
Najiuliza gharama za kupeleka ndege mbili za Marais, kupeleka jopo kubwa hivi, kuwalipa posho walioenda na watumishi wa Chato, logistics za ulinzi kwa marais wote wawili, kupeleka live TV etc
Hizi gharama hazijazidi au kukaribiana na gharama ya shule ya msingi iliyoenda kuzinduliwa? Kama ni alama ya ushirikiano, hamna namna nyingine tungeweza kufanya?
Naiona ipo karibu na ziwa
Mkoa wa Chato unazinduliwa lini?Bavicha leo watanuna
Upo Ludewa sehemu gani Mkuu??.Hamna picha ya shule na sisi tuliopo Ludewa tuone.
Muda wowote!Mkoa wa Chato unazinduliwa lini?
Kwani waliobaki bado wanachezea kodi zenu?Kwahiyo kama amekufa basi ni tiketi ya waliobaki kuchezea kodi zetu kwa matumizi yasiyo ya lazima?
Umesikia wapiNasikia Uganda wameomba kuutumia uwanja wa ndege wa Chato kwa muda
Gharama haziepukiki la sivyo Rais akae ofisini tuNiko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha wakiwemo watumishi wa Serikali.
Najiuliza gharama za kupeleka ndege mbili za Marais, kupeleka jopo kubwa hivi, kuwalipa posho walioenda na watumishi wa Chato, logistics za ulinzi kwa marais wote wawili, kupeleka live TV etc
Hizi gharama hazijazidi au kukaribiana na gharama ya shule ya msingi iliyoenda kuzinduliwa? Kama ni alama ya ushirikiano, hamna namna nyingine tungeweza kufanya?
TanzaniaUmesikia wapi
Shujaa wa kudhulumu haki za wengine labda.Hapo ni nyumbani kwa JPM, mmoja wa mashujaa wa afrika, mzalendo wa kweli. Aliyesema mtanikumbuka kwa mazuri na kweli tunamkumbuka kwa mengi mazuri.
Sawa isije kuwa tetesi tuTanzania