Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

Tumerogwa
 
Madikteta hawaangalii gharama wao ni kusifiwa tuu. Wachawi wamekutana kaburini
 
Hakuna siku nililia Kama mtoto Kama siku niliokutana na msafara wa mwenge mwituni ukielekea kuzindua choo Cha shule kisicho hata na maji
 
Akili ndogo kuongoza akili Kubwa,
Angewakilisha msukuma na madiwani kukabidhiwa hiyo shule.
Balozi Uganda nchini Tanzania alikuwa anatosha kupunguza gharama.
 
HII NCHI IMEKUWA YA AIBU SANA!
Tulishasema sisi ni country donor, haya maujinga yanatoka wapi tena??


Hicho alichofanya Museni kitalipwa mara milioni mia sita kupitia bomba la mafuta, kununua sukari uganda na biashara zingine at the expense of poor Tanzania.
Mungu anawaona na mtajibu siku ya kiama!
 
Kwahiyo kama amekufa basi ni tiketi ya waliobaki kuchezea kodi zetu kwa matumizi yasiyo ya lazima?
Kwani waliobaki bado wanachezea kodi zenu?

Si aliekuwa anafanya hivyo alishakufa na mkashangilia sana?
 
Gharama haziepukiki la sivyo Rais akae ofisini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…