M MansaMusa Senior Member Joined Sep 11, 2013 Posts 103 Reaction score 13 Oct 13, 2013 #1 Wadau nina Kiwanja kama Hekari moja kipo Iringa mjini, na hakijapimwa. Kwa anayefahamu gharama ya kukipima na kukata hati. Mchango wako ni muhimu ndugu, na anayefahamu anijuze.
Wadau nina Kiwanja kama Hekari moja kipo Iringa mjini, na hakijapimwa. Kwa anayefahamu gharama ya kukipima na kukata hati. Mchango wako ni muhimu ndugu, na anayefahamu anijuze.