Gharama ya kupima Kiwanja.

Gharama ya kupima Kiwanja.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Wadau nina Kiwanja kama Hekari moja kipo Iringa mjini, na hakijapimwa.

Kwa anayefahamu gharama ya kukipima na kukata hati.

Mchango wako ni muhimu ndugu, na anayefahamu anijuze.
 
Back
Top Bottom