Rascallone
Member
- Dec 20, 2017
- 64
- 52
Naomba kujua gharama ya kurudia kupaka rangi nyumba baada ya rangi ya awali kuchakaa. Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sitting& dinning room, na jiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nitumie namba nina kazi kama hiyo.Nakutumia namb dm mkuu
[emoji106]Wasiliana na
Uvimo, hawa ni wataalam na wazoefu wa ujenzi na umaliziaji nyumba.
Watakushauri, kukufanyia tathimini na kukufanyia kazi.
Tupigie
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp
Kazi ipo dodoma lakiniMkuu Mimi ni fund nitext wasup.au.nipigie 0757735884 fundi rangi ningependa nipate majibu kutoka kwako ili.nijue nyumba inahali gani.tushauriane chakufanya had kaz smart itokee nitafute au nitext wasup.kwa.ushaur