Gharama ya Kurudia kupaka rangi nyumba

Gharama ya Kurudia kupaka rangi nyumba

Rascallone

Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
64
Reaction score
52
Naomba kujua gharama ya kurudia kupaka rangi nyumba baada ya rangi ya awali kuchakaa. Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sitting& dinning room, na jiko.
 
Wasiliana na
Uvimo, hawa ni wataalam na wazoefu wa ujenzi na umaliziaji nyumba.

Watakushauri, kukufanyia tathimini na kukufanyia kazi.

Tupigie
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp
[emoji106]
 
Mkuu Mimi ni fund nitext wasup.au.nipigie 0757735884 fundi rangi ningependa nipate majibu kutoka kwako ili.nijue nyumba inahali gani.tushauriane chakufanya had kaz smart itokee nitafute au nitext wasup.kwa.ushaur
 
Back
Top Bottom