Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Ni wazo zuri kama umetambua ilo.mimi na wewe ni watu wawili tofauti
 
Nimesoma contents, jamaa ambaye sio fundi katoa taarifa za kueleweka, fundi kaombwa atoe aina ya matumizi ya nyumba inayotumia 10mm wire anadai hana kibali cha kutoa elimu, kama huna kibali kwanini pages za mwanzo umetoa elimu
Naomba kuuliza kama kuna aliyefanya kazi na jamaa aje atupe confirmation ya quality za kazi hili tufanye maamuzi
Natamani kumpa kazi lakini sipendi kona kona
Hili ni jukwaa huru, hoja kwa hoja
Nyumba ninayo ishi haikuwa designed kuwa na ac, kwasasa natumia ac 2 plus other accessories na sioni changamoto, sijaweka hata vifaa vya kulinda hizi ac
Kwahiyo hoja ya 6mm vs 10mm vs 16mm ina umuhimu sana kwa sisi wengine
Ac 2 za 18btu, na vifaa vya kawaida kitanzania, matumizi sahihi ni 6mm,10mm au 16mm?
 
Fundi huyu huyu pia ndio amesema bei inategemea na mwenye nyumba ana gari aina gari.
Kwakweli hili sikutegemea kutoka kwa mtu anayesema anapata wateja humu,
Muonekano kumbe ndio unapanga bei , alafu utakuta same person analalamika sehemu zingine kuwa watanzania wezi
 
Ni wazo zuri kama umetambua ilo.mimi na wewe ni watu wawili tofauti
Mkuu, mfumo wa backup ya umeme wa tanesco kwa generator huwa unahitaji vifaa gani ili umeme wa tanesco unapokata, wa generator uingie bila shida na pindi wa tanesco ukirudi, ule wa generator uzime.
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
kujua gharama utakazozitumia chukua mafundi japo watatu tofauti walipe kwa ajili ya site visit utapata mwanga kuhusiana na mahitaji na bajeti yako. ukiingia kichwa kichwa utapigwa lakini pia kuna uwezekano wa kutoimaliza kazi yako ukifuata baadhi ya wanaokushauri hapa jukwaani.
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Fafanua ungependa hiyo wayaringi yako ipite chini au ipite darini.
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Gharama za makadirio ya umeme zinategemea mahitaji ya mteja husika.
Hiki ndicho kigezo kikuu katika kupata gharama.
Mahitaji yanaweza kuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida, biashara n.k
Ongezeko la uhitaji au matumizi ya vifaa kama AC,Jiko la umeme,Water heater,machine za kusaga,kuranda n.k zinaendana na uhitaji wa upatikanaji vifaa ukilinganisha na nyumba ya kawaida ya kuishi.

Hivyo ni vyema ukaweka wazi mahitaji yako kwa fundi utayemchagua,kuanzia hatua ya kwanza ya kuweka bomba kwenye kuta,ili kama kukiwa na uhitaji wa vitu kama AC,water heater n.k fundi wako aweze kuweka point zako

Kuhusu ukubwa wa waya unaoleta umeme kutoka kwenye waya za Tanesco (TAIL WIRE) inapendekezwa kutumia waya ambao ni mkubwa kuliko mahitaji tarajiwa kwenye nyumba husika.
Hii ni kwa sbb wakati mwingine tumekuwa tukiongeza mahitaji yetu,wakati huo tumeshapata umeme kutoka Tanesco.
Lengo la kupeleka mchoro Tanesco ni ili tuweze kupata umeme kulingana na mahitaji

Karibu kwa mwendelezo wa makadirio!
 
NISAIDIENI NA MIMI WAKUU NAONA KAMA NAENDA KUPIGWA

1. Bomba 100 @

2. Square Box

a) Single 14 @

b) Double 12 @

3. Round Box 6 @

4. Switch

a) Single 2 @ (1G)

b) Double 6 @ (2G)

5. Main Switch 2 (Njia 4) @

6. Bulb 14 @

7. Holder 14 @

a) Slope 6

b) Straight 8

8. Socket Switch 10 (Double) @

9. Junction Box 8 @

10. Kona 16 Small @

11. Connector Bomba 16 @

12. Wires

a) mm4 (40M) @

b) mm2.5 (70M) @

c) mm1.5 (160M) @

13. Earth Wire (50M) @

14. Earth Copper

Jamaa Amenipigia Hiyo Hesabu Ninajaribu Kuangalia Bei Inagonga Kama 5M, Nisaidieni.

Aina Ya Nyumba Ni Apartment Ya Vyumba Viwili Kila Kimoja Kina Chumba Self, Jiko Na Sebule.

Hii Hapa Chini


 
We jamaa hujui afu mbishi kisa tu umefanya unavojua wewe kwa mazoea. Nawaonea huruma ambao ulishawapa ushauri.. Anyway wazungu wanasemaga some fools never learn
 
Mahesabu ya fundi wangu haya.
Vyumba 3
Sebule
Dining
Jiko

Makadirio ni kutokana na mahitaji yangu.
Vifaa tronic

Note:: nyuma ina umeme tayari, mainswitch troniic njia 4, breaker.
 
Wakuu bomba mnazo ongelea hapa ni zipi?
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Ni kutokana. Na namna gani unahitaji nyumba yako ikae ukitaka galama nFuu inawezekana lakin inakuwa local
 
Mkuu wewe unapiga vifaa, 6*150=900 hii waya ndefu sana mkuu
 
Duh umetisha kunamwamba kaomba laki8 juu
 
Mkuu niPM nikupe Kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…