mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe sio fundi maana ungekuwa fundi basi kuna vitu ungekuwa unavijua.Nitasimamia hapohapo kwenye 6mm kwasababu ndio niliyoutumia kwenye nyumba ya kawaida (sio kibanda) na sijapata tatizo lolote la kiufundi yapata miaka 8 sasa.
Hiyo 10mm inatumika kwenye 2phase na 16mm inatumika sana viwandani au kwenye mashine.
Ujawahi kutumia 16mm ya single phase ya twin au single?.
Kwa iyo ukisikia 16 mm wire basi unajua ni waya wa kiwandani[emoji23][emoji23][emoji23]