Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Nitasimamia hapohapo kwenye 6mm kwasababu ndio niliyoutumia kwenye nyumba ya kawaida (sio kibanda) na sijapata tatizo lolote la kiufundi yapata miaka 8 sasa.
Hiyo 10mm inatumika kwenye 2phase na 16mm inatumika sana viwandani au kwenye mashine.
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe sio fundi maana ungekuwa fundi basi kuna vitu ungekuwa unavijua.
Ujawahi kutumia 16mm ya single phase ya twin au single?.

Kwa iyo ukisikia 16 mm wire basi unajua ni waya wa kiwandani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wewe sio fundi maana ungekuwa fundi basi kuna vitu ungekuwa unavijua.
Ujawahi kutumia 16mm ya single phase ya twin au single?.

Kwa iyo ukisikia 16 mm wire basi unajua ni waya wa kiwandani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Kujua vitu sio lazima uwe fundi ni utashi wako tu wa kujifunza na kufuatilia mambo. Sasa kwasababu wewe ni fundi ndio unataka kunidanganya!

Hiyo hapo 6mm inafanya kazi vizuri kabisa kwenye nyumba ambayo ni standard
20230513_185758.jpg
 
Kujua vitu sio lazima uwe fundi ni utashi wako tu wa kujifunza na kufuatilia mambo. Sasa kwasababu wewe ni fundi ndio unataka kunidanganya!

Hiyo hapo 6mm inafanya kazi vizuri kabisa kwenye nyumba ambayo ni standardView attachment 2620698
[emoji23][emoji23][emoji23] bro kutokujua kitu sio ujinga maana binadamu uwezi kujua kila kitu.kuna kitu wewe unakijua ila mimi sikijui. kwa iyo kubali tu hakuna unachokijua kuhusu umeme.

10mm ni cable ya kawaida sana, kwenye 3 phase tunatumia kuanzia cable ya 16 mm kwenda juu.

Kwenye single phase tunatumia sana 1.5mm, 2.5mm, 4mm, 6mm, 10mm na mwisho kabisa ni 16mm.kila size ya waya ina kiwango cha kusafirisha umeme.kwa iyo ili upate size lazima ujue matumizi ya sehemu husika.

Hata Tanesco unavyoenda kuomba umeme ni lazima uwandike matumizi yako ya umeme unayotaka kutumia ili wangalie kuwa unachokiomba kinaendana na unachotaka kutumia.maana unaweza omba umeme wa single phase kumbe matumizi yako ni makubwa yamepitiliza mpaka kwenye kiwango cha single phase.
 
Size ya waya unaipata kwa kufanya calculation.kama ujawahi kutumia 10mm au 16 mm basi uwa ufanyi calculation bali uwa unaweka tu kwa sababu ya uwelewa wako.ni vyema ukajifunza umeme kwa usahihi ili uwe unafanya kazi zako kwa uwakika zaidi kuliko kubatisha.

Kwa single phase basi shukuru Mungu uendelee kufanya ivyo ivyo unavyojua ila usijaribu kabisa kufanya hayo mambo kwenye 3 phase.jela itakuhusu maana mtu kanunua motor mpya za HP 50 alafu wewe unakuja kuzichoma kama mahindi unategemea nini kama sio jela[emoji23][emoji23]
 
Okay nakubali sijui kitu na mimi sio fundi ila sikubaliani na wewe kua waya wa 6mm haufai kusafirisha umeme kutoka kwenye mita hadi kwenye main switch.

Na kutokukubaliana kwangu sio ubishi ni kwasababu nimeitumia hiyo waya na hakuna matatizo yoyote ya kiufundi ninayoyapata kwa muda wa miaka nane sasa.
 
Ndio maana kwenye comment yangu ya kwanza nikakwambia 10mm au 16mm zinatumika sana kwenye 3phase lakini kwenye single phase 6mm ni suitable kabisa kwa matumizi. Nadhani tumeelewana fundi.
 
Nafikiri bado ujanielewa namanisha nini.size ya waya inapatikana kwa calculation na sio kwa mazoea.asilimia 80 ya nyumba za sasa ni lazima upate kuanzia 10 mm na kuendelea.ni nyumba chache sana isiyokuwa na matumizi makubwa ya umeme ndo utaweka pata iyo 6mm.
 
Okay nakubali sijui kitu na mimi sio fundi ila sikubaliani na wewe kua waya wa 6mm haufai kusafirisha umeme kutoka kwenye mita hadi kwenye main switch.

Na kutokukubaliana kwangu sio ubishi ni kwasababu nimeitumia hiyo waya na hakuna matatizo yoyote ya kiufundi ninayoyapata kwa muda wa miaka nane sasa.
Nashkuru kwa kuongea ukweli kuwa wewe sio fundi.[emoji120]
 
Nafikiri bado ujanielewa namanisha nini.size ya waya inapatikana kwa calculation na sio kwa mazoea.asilimia 80 ya nyumba za sasa ni lazima upate kuanzia 10 mm na kuendelea.ni nyumba chache sana isiyokuwa na matumizi makubwa ya umeme ndo utaweka pata iyo 6mm.
Matumizi makubwa kama yapi? Ngoja nikupe mfano hapo kwenye matumizi ya umeme kwenye nyumba ya kisasa ambayo kwenye mfumo wa umeme imetumika waya ya 6mm.

Jikoni kuna fridge 1, cooking range 1, microwave 1, Mixer 1 na blender 1. Katika matumizi vifaa vitatu vinaweza kutumika kwa pamoja.

Sebuleni kuna Tv, AC, radio (subwoofer & AVR) na king'amuzi, hapa mara nyingi vyote vinakua on kutoa AC ndio mara mojamoja.

Kwenye mabafu kuna water heater 2, tukiongeza na taa za nyumba mzima na nje zipo 14 (najua hapa utaniambia nyumba za kisasa sebuleni tu kuna gypsum light 86) pia kuna matumizi mengine kama, kupiga pasi na kuchaji simu.

Pia itakua vizuri na wewe ukileta matumizi ya nyumba za kisasa unazotumia 10mm na 16mm, na kwakua wewe ni fundi sio mbaya ukiambatanisha na calculations.
 
Ushasema wewe sio fundi kwa iyo unachokifanya wewe kinakuwa hakipo kwenye kanuni za kifundi bali kwa mtazamo wako.ili sio darasa na sina kibari cha kufundisha darasa la umeme humu. kama unaitaji darasa basi unaweza kuja inbox ili ujifunze vitu au ukaenda chuo kupata elimu zaidi.
 
Itakua hujanielewa na kama umenielewa basi huna hoja ya kujibu ndio maana Una rukaruka. Nilitaka unipe mfano wa matumizi ya umeme kwenye nyumba yenye mfumo uliotumia waya ya 10mm na 16mm kama mimi nilivyokupa mfano wa matumizi ya umeme kwenye nyumba yenye mfumo wenye waya ya 6mm.

Hayo mambo ya darasa sijui kibali yanatoka wapi? Kama umeshidwa kunielewesha hapa kwa faida ya wengi sina haja ya kuja inbox na ninaitilia shaka taaluma yako ya ufundi. Na huu mjadala baina yangu na yako unaishia hapa.
 
Back
Top Bottom