J Jouna New Member Joined Apr 7, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Apr 8, 2015 #1 Wakuu poleni na majukumu; Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji kuanzisha kiwanda wadau. Mwenye maujuzi anisaidie. Asanteni
Wakuu poleni na majukumu; Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji kuanzisha kiwanda wadau. Mwenye maujuzi anisaidie. Asanteni
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Jul 17, 2017 #2 Tupe mrejesho...