Gharama ya mitambo ya maji ya chupa

Gharama ya mitambo ya maji ya chupa

Jouna

New Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu poleni na majukumu;
Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji kuanzisha kiwanda wadau. Mwenye maujuzi anisaidie.
Asanteni
 
Back
Top Bottom