Gharama ya studio ya kusafisha picha

Gharama ya studio ya kusafisha picha

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Salam kwenu wakuu,

Kuna jamaa yangu anataka kufungua photo studio. Frame tayari anayo kinachohitajika ni mashine ya kusafisha picha za passport, picha kubwa saizi kuanzia 4*6 na kuendelea, desktop computer ipo 1 na Camera cannon nayo ipo 1.

Naamini hapa ntapata ushauri zaidi kuanzia gharama ya mashine tajwa hapo juu pamoja na vitu vingine vinavyohitajika ikiwa na gharama zake, nipo hapa hapa kusubiri mrejesho toka kwenu.
 
Mi mwenyewe nashangaa wadau wameamua kupiga kimya
 
Mashine ya picha kwa beginners ipo epson L220 gharama yake ni 480000 photo paper (mate) 4*6 ni 9000/100 pc. kwa mengine mengi tujuze uko mkoa gani
 
mashine ya picha kwa biginers ipo epson L220 gharama yake ni 480000 photo paper (mate) 4*6 ni 9000/100 pc. kwa mengine mengi tujuze uko mkoa gani
Hivi Camera na printer wanazotumia watu kama wale jamaa wa COCO BEACH unapigwa picha na kupewa hapo hapo zikoje na gharama zake zikoje ?
 
inauwezo wa kutoa hqdi A3
38924ca7a8ec1ee23dda6930f5b1838e.jpg

Hivi A3 unajua ukubwa wake?, kwa size ya printer L220 hiyo karatasi ya A3 itakaaje hapo kwa mfano?, size kubwa inayoweza hii printer ni A4
 
Kuna mashine portable unatembea nayo, hii mashine inatumia betri ya kuchaji. Wapiga picha wengi wanatembea nazo njiani wakipata mteja wanampiga hapohapo wanasafisha picha...hiyo mashine inashikiliwa mkononi huku ikiwa inaprinti. Details zake had nimuulize mmojawao
 
Mie ni mdau wa hii kazi. Ila sijajua ni studio ya aina gani uitakayo.
1. Kuna hizi machine za Epson
Hit machine. Hizi zote ni za
Kusafisa picha japo kwa size
Tofauti na ubora tofauti pia
2. Kuna machine kubwa kutoka
Kampuni tofauti japo mie
Nitazungumzia aina za
Nortisu au Fuji hizi ghàrama
Zake ni kubwa. Maswali nakaribisa
 
Kuna mashine portable unatembea nayo, hii mashine inatumia betri ya kuchaji. Wapiga picha wengi wanatembea nazo njiani wakipata mteja wanampiga hapohapo wanasafisha picha...hiyo mashine inashikiliwa mkononi huku ikiwa inaprinti. Details zake had nimuulize mmojawao
 
Mie ni mdau wa hii kazi. Ila sijajua ni studio ya aina gani uitakayo.
1. Kuna hizi machine za Epson
Hit machine. Hizi zote ni za
Kusafisa picha japo kwa size
Tofauti na ubora tofauti pia
2. Kuna machine kubwa kutoka
Kampuni tofauti japo mie
Nitazungumzia aina za
Nortisu au Fuji hizi ghàrama
Zake ni kubwa. Maswali nakaribisa

Nini ubora wa hizo epson mfano hizi l805 kuna mtu alinishawishi ninunue
 
Back
Top Bottom