kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
Salam kwenu wakuu,
Kuna jamaa yangu anataka kufungua photo studio. Frame tayari anayo kinachohitajika ni mashine ya kusafisha picha za passport, picha kubwa saizi kuanzia 4*6 na kuendelea, desktop computer ipo 1 na Camera cannon nayo ipo 1.
Naamini hapa ntapata ushauri zaidi kuanzia gharama ya mashine tajwa hapo juu pamoja na vitu vingine vinavyohitajika ikiwa na gharama zake, nipo hapa hapa kusubiri mrejesho toka kwenu.