Anakumbukia mambo ya dark roomHivi teknologia ya kusafisha picha bado inatumika? Enzi za digitali printer ndio zinatumika " kutoa" picha.
Size kubwa ya mwisho kuprint n size gan?mashine ya picha kwa biginers ipo epson L220 gharama yake ni 480000 photo paper (mate) 4*6 ni 9000/100 pc. kwa mengine mengi tujuze uko mkoa gani
Ina uwezo wa kutoa hadi A3Size kubwa ya mwisho kuprint n size gan?
epson L220 haina uwezo wa kuprint A3, uwezo wake mwisho A4
Hivi Camera na printer wanazotumia watu kama wale jamaa wa COCO BEACH unapigwa picha na kupewa hapo hapo zikoje na gharama zake zikoje ?mashine ya picha kwa biginers ipo epson L220 gharama yake ni 480000 photo paper (mate) 4*6 ni 9000/100 pc. kwa mengine mengi tujuze uko mkoa gani
inauwezo wa kutoa hqdi A3
ulishapata jibu?Hivi Camera na printer wanazotumia watu kama wale jamaa wa COCO BEACH unapigwa picha na kupewa hapo hapo zikoje na gharama zake zikoje ?
Mie ni mdau wa hii kazi. Ila sijajua ni studio ya aina gani uitakayo.
1. Kuna hizi machine za Epson
Hit machine. Hizi zote ni za
Kusafisa picha japo kwa size
Tofauti na ubora tofauti pia
2. Kuna machine kubwa kutoka
Kampuni tofauti japo mie
Nitazungumzia aina za
Nortisu au Fuji hizi ghàrama
Zake ni kubwa. Maswali nakaribisa
Shida zinaprint taratibu sanaNini ubora wa hizo epson mfano hizi l805 kuna mtu alinishawishi ninunue
Tena sana, maana nnayo hii machine, pia mnunuaji awe makini maaana kariakoo zimejaa nyingi feki kuliko org,Shida zinaprint taratibu sana