Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa
Napenda kupata majibu kutoka mafundi wenyewe wenye uwezo wa kujenga hiyo Ghorofa