Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kwa asilimia kubwa ni sahihi ila tushawastukia tunaenda tumejipanga..Kijiji gani?
Si huwa tunaambiwa vivijini ni wachawi sana, hawapendi watu waishi maisha mazuri.
garama za gorofa au ujenzi wowote haziko general sana inategemea na aina ya ramani unayo taka kujenga. kuhusu ufundi mpaka uone ramani ndo unaweka sema bei ya kujenga hilo gorofa