Gharama ya ujenzi wa vyumba vitatu, sebule, jiko na choo cha ndani

Kweli mkuu, ujenzi ni rahisi kuliko kununua kiwanja
Mkuu tatizo watoto wengi wa masikini hasa watanzania tumejawa na chuki na roho mbaya mtu akiambiwa mtu kajenga kwa 10m anaumia kisa shemeji ake kamtisha ili dada ake asiondoke waendelee kulea mtu na mke mwenzie yan dada na kaka....na huyo professional injinia alosoma nchi za magharibi atume vyeti apa tuone hizi nyumba za western culture ila wabongo wanamaneno ya kejeli wivu na unafki
 
kuna watu humu mnabishana nao mnapoteza muda tu kuhusu ujenzi na bei wakat wapo nyumban kwa shemeji wanakula kulala kunya bure...
Exactly what a shame i ever seen.......kuna watu hawana hata kigae kimoja kwao akiona vitu kwa mme wake uko anakuja kutisha watu....tandaluveta na omary yahunda fafruk mweusi nyau kunguru wa unguja hawa
 
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165 napatikana Dar es salaam pia nna kampuni ya ujenzi lupama Engineering.
 
Yes mawe yanapunguza gharama sana kuliko tofari.
 
Nyumba ya Vyumba vitatu unakadiriwa thamani ya milioni 70 wakati huo kwenye akaunti una laki 3 tu.
Mnatukatisha tamaa sana
 
Uvimp public centre iko wapi ?
 
Nakuunga mkono kbsa..mm nimejenga boma tu mpka linakamilika nimetumia 31.5 milioni
..mwaka huu..na ni kwa sababu nyumba imejengwa sehem ambayo hakuna level na nimelaza tofali nyng sana chini kufanya msingi uwe mgumu

Kuna sehemu nilijenga nyumba yangu ya kwanza..boma nilitumia 15 milioni tu..2017 hyo
 
Kulingana na sehemu ,japo bei ya finishing almost ni flat rate nchi nzima , andaa kat ya 28 million - 35 million
Iringa tunajengea tofali za kuchoma na mbao huku ndio zilikozaliwa. Tofali moja 50/= au 100/= hadi site. Mbao bei inaanzia 700/=
Ukiwa na 15m mjengo unasimama. Sehemu kama Dar andaa mara mbili yake bila finishing touches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…