ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hivi mnaona 100m kuwa nyingi sana kwa ujenzi wa leo? Are you guys serious? Kuna nyumba na NYUMBA mkuu, zipo nyumba kwa sababu ya accessories zilizopo 100m ni kawaida tu.Lee Swagger [emoji23][emoji23] Milioni 108 ! [emoji23][emoji23]
Ila hii nchi hii,[emoji1787][emoji1787]
Hiyo pesa si ni ya kujenga hekalu! Kanisa letu hapa limejengwa kwa 90m
Akaamua kuweka na kapicha uchwara kutoka facebook ili kuthibitisha!
Watu wanajenga nyumba nzuri mno, mno kiasi kwamba unajiuliza hizi pesa wao wanatoa wapi.
Kama nyumba yenye 150sqm mtu anatamia almost 15m-20m kupaua na kuezeka tu, unaonaje ajabu nyumba kugharimu 100m hadi finishing? mwingine hiyo 15m-20m amejenga msingi, boma na bati kashaweka.
Wewe useme kibongobongo na nyumba zetu kwa ujenzi wa kuungaunga ni kweli 100m ni nyingi, lakini kwa mtu mwenye resources zake anashusha mzigo wa 100m au zaidi kwa three-four bedroom house.