Factors ni nyingi sana mkuu, huwezi kulata jibu la moja kwa moja.
1. Unajenga mkoa gani.
2. Ukubwa wa nyumba yako ni sqm ngapi.
3. Landscape ya eneo hilo ikoje.
4. Aina gani ya udongo katika eneo hilo.
5. Traditionally mafundi katika eneo hilo wanalipwaje(tafuta majirani/marafiki waliojenga hapo uulize)
6. Ubora/quality ya nyumba unayotaka kujenga itategemea aina gani ya fundi unamtaka.
Fabya hivi, fanya research ndogo hapo ulipo utajua range ya malipo kwa mafundi.
Patana na fundi kwanza kwenye foundation, then boma separately, linganisha na gharama za kupatana jumla.