Gharama ya ujenzi

Gharama ya ujenzi

Mateja

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
10
Reaction score
11
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa but sitak ule mfumo wa kumlipa kwa tofauli
 
Factors ni nyingi sana mkuu, huwezi kulata jibu la moja kwa moja.

1. Unajenga mkoa gani.
2. Ukubwa wa nyumba yako ni sqm ngapi.
3. Landscape ya eneo hilo ikoje.
4. Aina gani ya udongo katika eneo hilo.
5. Traditionally mafundi katika eneo hilo wanalipwaje(tafuta majirani/marafiki waliojenga hapo uulize)
6. Ubora/quality ya nyumba unayotaka kujenga itategemea aina gani ya fundi unamtaka.

Fabya hivi, fanya research ndogo hapo ulipo utajua range ya malipo kwa mafundi.

Patana na fundi kwanza kwenye foundation, then boma separately, linganisha na gharama za kupatana jumla.
 
Back
Top Bottom