Rubengo J Rubengo
Member
- Jul 30, 2014
- 46
- 2
Naomba Kujua Kama Unahitaji Kusoma Advance{v-vi}kwa Shule Za Watu Binafsi{private}ni Shilingi Ngapi?
Umeona eeeeHv jukwaa lımevamıwa na watu ganı?Kuna maswali yanaulizwa ya ajabu.Kiufupi ada haıwezı kufanana.400,000-18,000,000/=
Utoto mtupu ni sawa na kuuliza '' hivi sahani ya wali dar es salaam bei gani?'' wakati unajua bei inatengemea na restaurant unayoenda kula.