Gharama za ada kwa shule binafsi

Gharama za ada kwa shule binafsi

Joined
Jul 30, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Naomba Kujua Eti Shule Za Private Malipo Yao Ya Kujiunga Na Form V Na Vi{advance}ni Shilingi Ngapi???
 
Naomba Kujua Kama Unahitaji Kusoma Advance{v-vi}kwa Shule Za Watu Binafsi{private}ni Shilingi Ngapi?

Hv jukwaa lımevamıwa na watu ganı?Kuna maswali yanaulizwa ya ajabu.Kiufupi ada haıwezı kufanana.400,000-18,000,000/=
 
Utoto mtupu ni sawa na kuuliza '' hivi sahani ya wali dar es salaam bei gani?'' wakati unajua bei inatengemea na restaurant unayoenda kula.
 
Back
Top Bottom