Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
NikupatejeNdio mkuu maana ndio uwekezaji wenyewe huo karibu sana mkuu 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NikupatejeNdio mkuu maana ndio uwekezaji wenyewe huo karibu sana mkuu 🤗
Why ada wameziweka kwa USD ?Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani start-up innovators, mfano kwa huduma ya usajili wa USSD (Unstructured Supplementary Service Data) na short code kupitia Tanzanite portal, ada ya maombi yaani Application Fee ni U$D 10, ada ya usajili yaani Registration fee ni U$D 2000, na ada malipo ya huduma kwa mwaka yaani annual maintenance fee ni U$D 2500 , ambayo kwa jumla yake ni zaidi 12Milion fedha za kitanzania.
Hapo bado hujanunua gate way, hujanunua shared USSD, kwa kampuni za hosting na kuhost huduma yenyewe, hujalipa (callback URL), kwa kweli kwa gharama hizi wabunifu wanaoanza hawawezi kumudu na mbaya zaidi ni huduma hizi kutozwa kwa dola
Mfano ni hivi karibuni nimebuni huduma ya kuriport taarifa za uwepo wa viashiria au vitendo vya moja kwa moja vya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani vinavyo sababisha ajali zinazo pelekea vifo na majeruhi, kwa njia ya USSD short code, ambapo mwananchi au abiria anakuwa snatuma ujumbe mfupi kwa njia ya SMS kupitia hiyo shortcode/ USSD menu, ili kuzuia ajali na kuokoa maisha na kuzifanya barabara zetu kuwa sehemu salama.
Huduma hii niliwasilisha kwa wadau wa usalama barabarani na ikapata mapokeo chanya lakini changamoto ikawa upatikanaji wa pesa hiyo, nikakwama.
Kufuatia hali hii naishauri serikaali iondoe ada hizi kwa wabunifu wanaonza kwakuwa wanakuwa katika majaribio ya huduma zao kwa kipindi cha miezi 3 chini ya TCRA na COSTECH, na waruhusiwe kuhost huduma zao ili wawe chini ya uangalizi kwa kipindi cha mwaka mmoja na baada ya hapo ndio walipe gharama hizo, kwakuwa wanaweza kuwa wamepata ufadhili au kuuza huduma zao kwa wadau mbalimbali wa teknolojia ya habari na mawasiliano na kuwa na mtaji wa kusajili rasmi huduma zao.
Naweza kupata mawasiliano yako unielekeze kitu kuhusu hizi leseni?Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha