Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair.
Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata wangeuza beer bukubuku. Nini kifanyike? au kwa kuwa tumekuwa ndiyo wachangiaji wakubwa wa pato wameona watunyooshe? Hili ni jambo kubwa na la dharura.