Gharama za bia zimepanda ghafla

Gharama za bia zimepanda ghafla

Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair.

Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata wangeuza beer bukubuku. Nini kifanyike? au kwa kuwa tumekuwa ndiyo wachangiaji wakubwa wa pato wameona watunyooshe? Hili ni jambo kubwa na la dharura.
Kilio kilisikika Rama....
 
Mafuta yakipanda yanaathiri sekta zote.
Bia itoke kiwandani hadi ifike Namanyere Rukwa, haisafiri kwa infra-red wala Bluetooth, inasafirishwa na vyombo vinavyotumia kiwesewese

IMG-20221201-WA0252.jpg
 
Mafuta yakipanda yanaathiri sekta zote.
Bia itoke kiwandani hadi ifike Namanyere Rukwa, haisafiri kwa infra-red wala Bluetooth, inasafirishwa na vyombo vinavyotumia kiwesewese
Yalipanda muda tu mbona hawakupandisha?
 
Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair.

Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata wangeuza beer bukubuku. Nini kifanyike? au kwa kuwa tumekuwa ndiyo wachangiaji wakubwa wa pato wameona watunyooshe? Hili ni jambo kubwa na la dharura.
Hujui kuwa viongozi wetu wamekuwa wakifanya ziara za Oman na nchi za kiarabu, karibu wakina mama watalazimisha kuvaa hijabu
 
Gharama za maisha zazidi kupanda huku mama akinyakua tuzo ya heshima ya uchumi.
 
Back
Top Bottom