Tozo za kuikomboa ndege kutokana na deni la ghafla, hata hivyo sijui tunaikomboa ya nini kwani tangu upya wake haijawahi kuingiza faida, si tuliache tu.Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair.
Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata wangeuza beer bukubuku. Nini kifanyike? au kwa kuwa tumekuwa ndiyo wachangiaji wakubwa wa pato wameona watunyooshe? Hili ni jambo kubwa na la dharura.
Tunatakiwa kupewa taarifa, kushirikishwa, tutoe maoni yetu kama wadau. Tukisusa beer, hakika nchi haitokuwa salama.Tunywe kwa kiasi
Ninaongelea beer. Elewa. Sio kila mnywaji anatumia kila aina ya pombe.K Vant
Konyagi
Kiwingu
Gongo
Ulanzi
Wanzuki
Mataputapu
Hela yako tu
Dah unakuta hapo anafidia hela yake kwenye nyama choma. Biashara ukiijulia raha sanaHuku Mwanza maeneo ya Kona ya Bwiru kuna jamaa alikuwa anauza bia zote sh 1300, aisee tulikuwa tunatandika mvinyo acha kabisa, sasa nae kapandisha anauza 1500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku Mwanza maeneo ya Kona ya Bwiru kuna jamaa alikuwa anauza bia zote sh 1300, aisee tulikuwa tunatandika mvinyo acha kabisa, sasa nae kapandisha anauza 1500
Tumezinywa tokea zikiwa 450Tunatakiwa kupewa taarifa, kushirikishwa, tutoe maoni yetu kama wadau. Tukisusa beer, hakika nchi haitokuwa salama.
Bei yake imechangamka hawaiongeziHali ikoje kwa my favorite "Heineken"?[emoji22]
Ndo nataka nikaisuuzie Koo,Bei yake imechangamka hawaiongezi
Mama J kashafanya yakeNdo nataka nikaisuuzie Koo,
Akili yangu haiko sawa kabisa leo[emoji22]