Gharama za bima kupanda

Gharama za bima kupanda

1. Kwa ATI kukaa na kupanga bei (curtailing) ni kinyume na kanuni za soko huria.
2. Kwa Mdhibiti TIRA kuridhia ongezeko hilo ni kinyume cha kanuni za udhibiti.
3. Wote wanaweza kushtakiwa Fair Competition Tribunal (FCT) na kuomba objection ya ongezeko hilo na hata kulifuta.
4. Hii ni hatua muhimu ya kuupima ubavu wa mdhibiti kama ana weledi na umakini wa kuendesha sekta ya bima nchini.
 
tatizo kubwa ni kwa mamlaka ya bima TIRA kupitisha upandishaji huo bila ya kuhoji ama kufanya utafiti.
ukichunguza kwa makini utagundua kwamba makampuni hayo ya bima ni kama wanasema 'hatutaki kutoa huduma za bima ya magari' kwa mtindo wa ukitaka kata usipotaka ondoka.
ninmepata copy ya rates zao utagundua haijachanganuliwa kitaakam. mfano inatakiwa class za magari tofna rates ziwe na rates tofauti.
rates zao hazioneshi mfano Travel and tours vehicles zita kuwa rated vipi
au Ambulance nazo nitakua rated vipi
pick up in fall katika commercial vehicles na kuziweka zote pamoja na trucks kumfanya mtu alipe 750, 000 huu ni uhuni mkubwa ulio fanywa na makampuni haya ya bima
nchi nyingi kazi moja ya Commissioner ni kulinda haki za wateja kupata huduma bora na rahisi.lakini hapa kwetu commisioner wetu amekua mzuri kulinda maslahi ya share holders wa makampuni ya bima.
india mfano gharama za bima za third party zina kuwa regulated na commissioner wao...kwa sababu hii ni bima ya lazima kwa wenye magari hivyo ni lazima ku control cost zake.pia huko india company zote zenye licence ya non -life category ni lazima watoe bima ya magari na kampuni ambayo haitoi class yoyote basi huweza kunyanganywa licence yake.
kwa njia hii pool ya bima ya magari inakuwa kubwa zaidi na inapunguza sana hasara ambazo makampuni hayo yana pata katika biashara hii.
lakini haoa kwetu haya makampuni yaanachiwa na wanachagua ni magari gani wao watayafanyia bima. wengine hawataki piki piki , wengine hawataki dala dala wengine hawataki tankers
hii imesababisha yale makampuni yanayo chukua bima hizo ambazo ndio zenye losses sana kupata hasara huku yale mengine kupata faida.
sasa kuongezeka huku kunatokana na shinikizo la wale wasio taka kutoa bima za magari kuweka rates za juu sana wakijua wenye magari watafanya fakes insurance mkwani hakuna mtu ambaye ana pick up yake ya tani moja akalipa third party ya 750,000
au mtu yupo chunya na canter yake ya kubeba vitunguu umwambie akate bima ya canter yake kwa 750,000
wengi hawatakata bima na ndio wanavotaka ili wao waendelee kuwa na faida katiba bima nyengine
 
True.. Yamenikuta pia jn. Wanataka ulipie hizo garama mpya zinazoanza march au ukate bima ya 3 month then ifikapo march uka top up

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa nini maana ya regulators? mbaya zaidi ni hiyo combination ya statutory na self regulatory bodies wanashindwaje ku-defend major objective yao ya kuprotect interest of the insured/client?? this is too low and shallow kwa hao wahusika wakiongozwa na huyo Kamuzora, naungana na mdau aliyesema hawa TIRA, ATI, TIBA, IIT na regulators wengine kwamba wanaongozwa na wahindi wenye kumiliki haya makampuni binafsi.. tax juu, bima juu, spear juu!! what a life..
 
Nini maana ya biashara ya soko huria hawa wanawezaje kukaa na kupanga viwango sawa vya kutoa huduma huu ni uhuni ambao umekuwa ukifanywa na makampuni mengi kama saruji na kufumbiwa macho na tume ya ushindani
 
Kwanza bima na hasahasa third pary haina faida yoyote kwa wamiliki a magari,sana sana ni kuwachangia hao wahindi wa makumpuni ya bima fedha za bure,mtu unalipa tu kuondoa usumbufu wa matrafic lakini ukijua kuwa hakuna faida yoyote unayoipata kutokana na bima hiyo.Kwa dunia ya leo amabayo tunasema there is no free lunch,inabidi serikali iunde timu ya wataalamu wafanye utafiti wa faida ya bima ya aina hii kwa walipaji na wangapi wamewahi kunufaika na third party insurance na jinsi ambavyo makampuni yamekuwa hayana interest ya kufidia third party kwa visingizio lukuki.sio siri kwamba hakuna mwananchi amabye ujiangaisha kufuatilia malipo ya bima hii kwani wanajua hayapo,ni hewa.Wabunge pia msipuuzie suala hili kwani ni dhuluma tu kuendelea kuchangia makampuni haya ya Wahindi bila faida yoyote.
 
Mungu wangu.... Sasa ndio tunarudi kule "Kuwa na gari ni anasa"
 
Mtwara imewashinda wanataka kuutafuta msala mwingine. Dawa yao ni kupaki magari yote tununue baiskeli tuone hao waroho wa pesa watapata wapi hata hicho kidogo tunachowapa leo.
 
Update: Nilikua nasikiliza clouds fm Bwana Ndege raisi wa TIBA akiongelea swala hilo la kupanda kwa gharama za bima na akasema bado hawajakubaliana na TIRA, ATI kwa kupanda kwa garama hizo..
 
out of 25 + Registered Insurance Company ni mashirika mawili tu..ambayo yanaongozwa na watanzania...nayo ni yale ya serikali, National Insurance corporation na Zanziabr Insurance Corporation yaliyo baki yote yana ongozwa na wageni ambao hawana uchungu na uchumi wa nchi hii....
hili ni tatizo kubwa kwani katika hali kama hii Commisioner anatakiwa kuhakikisha walaji wanalindwa hasa ukizingatia bima ya gari ni compulsory kwa mujibu wa sheria.
hivyo wajibu wa kwanza ni kuhakikisha bima za magari zinapatikana na kila Company ya bima inayosajiliwa lazima itoe bima hizi....na pia kuhakikisha zinakua ndani ya uwezo wa watanzania na kuhakikisha hao makampuni yanapata faida
Kenya commisioner wao anapanga bei ya bima hizi za magari na india pia....makampuni hayapewi ruhusa hio
 
hayom ndo ya kuyajaza kwenye katiba mpya, yani kwakuwa tumewapa dhamana ya kutuongoza wao wanataka kututawala eboh,tatizo la african leaders hasa bongo wanasahau kitu inaitwa social contract theory. nataman kuwa dikteta
 
TIRA, ATI, TIBA, IIT na regulators wengine kwamba wanaongozwa na wahindi wenye kumiliki haya makampuni binafsi.. tax juu, bima juu, spear juu!! what a life..

sana sana ni kuwachangia hao wahindi wa makumpuni ya bima fedha za bure...kuendelea kuchangia makampuni haya ya Wahindi
Okay, makampuni ya Wahindi.

Ni kwanini katika nchi ya Waswahili milioni 45 ni wahindi peke yao wanafanya biashara ya bima?
 
Back
Top Bottom